RAIS WA SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA MBALIZI MKOANI MBEYA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 5 August 2022

RAIS WA SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA MBALIZI MKOANI MBEYA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Mbalizi Mkoani Mbeya baada ya kuweka  Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa tarehe 05 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Mbalizi Mkoani Mbeya baada ya kuweka  Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa tarehe 05 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mbeya waliofika kwenye hafla fupi ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya zilizofanyika Jijini Mbeya tarehe 05 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya katika hafla fupi iliyofanyika Jijini Mbeya tarehe 05 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya Kitengo cha Wazazi na Watoto Wachanga Meta mara baada ya kuzindua ujenzi wa jengo la afya ya huduma ya mama na mtoto Meta Mkoani Mbeya tarehe 05 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment