RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI KIWANJA CHA NDEGE IRINGA, AWAHUTUBIA WANANCHI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 13 August 2022

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI KIWANJA CHA NDEGE IRINGA, AWAHUTUBIA WANANCHI...!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Iringa. Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi imefanyika katika Mtaa wa Mapanda kata ya Nduli Mkoani Iringa tarehe 12, Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Mapanda mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa tarehe 12, Agosti, 2022.

Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wa Mkoa wa Iringa wakimsikiliza Rais Mhe. Samia akihutubia Mkutano wa Hadhara.

Wananchi wa Mkoa wa Iringa wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa CCM Samora kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara tarehe 12 Agosti, 2022.

Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wa Mkoa wa Iringa wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa CCM Samora kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mkoa wa Iringa alipowasili katika Uwanja wa CCM Samora kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara tarehe 12 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Iringa kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa CCM Samora tarehe 12 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment