RAIS SAMIA AMALIZA ZIARA MKOANI NJOMBE NA KUINGIA MKOANI IRINGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 11 August 2022

RAIS SAMIA AMALIZA ZIARA MKOANI NJOMBE NA KUINGIA MKOANI IRINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makambako baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegea km 40.7 Mkoani Iringa kwa kiwango cha Lami tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara Sawala-Mkonge-Iyegea km 40.7 Mkoani Iringa kwa kiwango cha Lami tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mtwango Mkoani Njombe tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mafinga mjini alipowasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi  tarehe 11 Agosti, 2022.

 Wananchi wa Kijiji cha Sawala Mufindi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika eneo hilo kwa ajili ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegeya Mkoani Iringa tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mafinga mjini alipowasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi  tarehe 11 Agosti, 2022.

Matukio mbalimbali ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwasikiliza na kuzungumza na wananchi wa Sawala Mufindi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegeya Mkoani Iringa tarehe 11 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment