RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA CONGO FÉLIX TSHISEKEDI, KINSHASA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 16 August 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA CONGO FÉLIX TSHISEKEDI, KINSHASA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya mazungumzo yao katika Jiji la Kinshasa tarehe 16 Agosti, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili katika Jiji la Kinshasa tarehe 16 Agosti, 2022.

katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili Kinshasa nchini DRC tarehe 16 Agosti, 2022.




No comments:

Post a Comment