| Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (katikati) akipokea zawadi kwenye Banda la CAMFED Tanzania kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora. |
| Kikundi cha kwaya kutoka Shule ya Msingi Igunga mkoani Tabora kikitumbuiza kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora. |
| Mwenyekiti wa Bodi ya ANCEFA, Dk. John Kalage akizungumza kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET. |
| Mshauri Mtendaji wa Shirika la CAMFED, Barbara Chilangwa (kulia) kutokea nchini Zambia akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa CAMFED Tanzania, Bi. Lydia Wilbard (kushoto) wakifuatilia mkutano huo. |

No comments:
Post a Comment