WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 27, 2022 amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky (kulia kwake) alipokutana nae Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.
Katika mzungumzo hayo Mheshimiwa Majaliwa amemuhakikishia Dkt. Walensky kuwa Tanzania itaendelea kukipa ushirikiano Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC).
No comments:
Post a Comment