RAIS SAMIA AZUNGUMZIA BEI YA MAFUTA, ASEMA SERIKALI 'ITABEBA' MZIGO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 10 May 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZIA BEI YA MAFUTA, ASEMA SERIKALI 'ITABEBA' MZIGO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Taifa Mei 9, 2022 kuhusiana na suala la kupanda kwa bei ya Mafuta nchini akiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Taifa tarehe 09 Mei, 2022 kuhusiana na suala la kupanda kwa bei ya Mafuta nchini akiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam Akifafanua suala hilo amewataka mawaziri husika kuangalia namna Serikali yake itakavyojibana na kubeba mzigo huo, kuwarahisishia Watanzania. Amesema matokeo yataanza kuonekana mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment