RAIS SAMIA 'ANA KWA ANA' NA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 10 May 2022

RAIS SAMIA 'ANA KWA ANA' NA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment