KAMATI YA MIUNDOMBINU YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA SEKTA YA UJENZI KWA MWAKA 2022/2023 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 30 March 2022

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA SEKTA YA UJENZI KWA MWAKA 2022/2023

 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akifafanua kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Miundombinu, kuhusu makadirio ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, wakati Wizara hiyo ilipowasilisha Makadirio ya bajeti kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment