MWENYEKITI WA CCM, RAIS WA TANZANIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 21 January 2022

MWENYEKITI WA CCM, RAIS WA TANZANIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment