MHE. RAIS SAMIA POKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA BAADHI YA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 14 January 2022

MHE. RAIS SAMIA POKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA BAADHI YA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini Mhe. Triyogo Jatmiko leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Kim Sun Pyo leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Mhe. Abdalla Ali M. Alsheryan, leo tarehe 14 Januari 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ambae pia ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Ezechiel Nibigira, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Januari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe maalum ambae pia ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Ezechiel Nibigira, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Januari, 2022.

No comments:

Post a Comment