MHE. RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM WA RAIS YOWERI MUSEVEN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 17 January 2022

MHE. RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM WA RAIS YOWERI MUSEVEN

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambae pia ni Waziri wa Ulinzi wa Uganda Mhe. Vicent Bamulangaki Sempijji, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 17 Januari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri wa Ulinzi wa Uganda Mhe. Vicent Bamulangaki Sempijji, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 17 Januari, 2022.

No comments:

Post a Comment