MHE. RAIS SAMIA AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 21 November 2021

MHE. RAIS SAMIA AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu leo tarehe 21 Novemba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu leo tarehe 21 Novemba 2021.

No comments:

Post a Comment