MHE. RAIS SAMIA SULUHU AWASILI NCHINI RWANDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 2 August 2021

MHE. RAIS SAMIA SULUHU AWASILI NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali Nchini Rwanda kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Paul Kagame leo Agosti 02,2021.

No comments:

Post a Comment