WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AKOSHWA NA HUDUMA BANDA LA WIZARA YA FEDHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 4 July 2021

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AKOSHWA NA HUDUMA BANDA LA WIZARA YA FEDHA

 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (katikati), akiangalia vipeperushi mbalimbali kuhusu huduma zinazotolewa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (katikati), akielekeza jambo wakati akitoka katika Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo  (wa pili kushoto) akiwasili katika Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam, kuona huduma zinazotolewa na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.


Afisa Habari wa  Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ramadhan Kissimba (kushoto), akimuongoza Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo (katikati), alipokuwa akitembelea Banda la Wizara hiyo, katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment