MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 7 July 2021

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani  Mhe. Antony Blinken, ambapo kwenye mazungumzo yao Waziri huyo amemhakikishia Mhe. Rais Samia kuwa Serikali ya Marekani itaendelea kukuza ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika Nyanja mbalimbali za maendeleo leo Julai 06,2021 Ikulu Jijini Dodoma. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment