MHE. RAIS SAMIA AKAMILISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI BURUNDI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 17 July 2021

MHE. RAIS SAMIA AKAMILISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI BURUNDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi  Mhe. Evariste Ndayishimiye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye  Jijini Bujumbura Burundi baada ya kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya siku mbili Nchini Burundi leo Julai 17,2021. (Picha na Ikulu)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimali wa Serikali ya Burundi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye  Jijini Bujumbura Burundi baada ya kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya siku mbili Nchini Burundi leo Julai 17,2021.

No comments:

Post a Comment