UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WASTAAFU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 24 June 2021

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WASTAAFU


Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada juu ya Uwekezaji pamoja na faida zake kwa wastaafu, ambapo zaidi ya washiriki 50 walihudhuria mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Amabili mjini Morogoro Juni 22, 2021.

Baadhi ya wastaafu wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na UTT AMIS kuhusu Uwekezaji pamoja na faida zake uliofanyika mjini Morogoro Juni 22, 2021.

No comments:

Post a Comment