SHAMRA SHAMRA ZA TIGO NYUMBANI FESTIVAL ZAFANA JIJINI ARUSHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 1 June 2021

SHAMRA SHAMRA ZA TIGO NYUMBANI FESTIVAL ZAFANA JIJINI ARUSHA

Viongozi mbalimbali wa Tigo akiwemo Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw Saidi Iddi, Meneja wa mauzo Mkoa wa Arusha, Salim Shangweli nk wakiongoza zoezi la kupasha kuelekea

Miaka 10 ya Ubunifu na uthubutu huku tukikuletea huduma za kibunifu zaidi ya jana kwetu sisi hakuna kurudi nyuma.
KILA KONA ni Tigo Nyumbani Festival ndani ya jiji la ARUSHA tukiwa na Arusha Jogging clib #TigoNyumbaniFestival

Mazoezi yatakuweka FIT Kama ilivyo brand yako pendwa ya Tigo inayokupa huduma bora za mawasiliano
.

SHAMRASHAMRA ZA TIGO NYUMBANI FESTIVAL:
Tunasherehekea Miaka 10 ya Tigo Pesa, Ubunifu na Uthubutu.
Tunapasha kwa ajili ya #TigoNyumbaniFestival2021ARUSHA

Umenunua Tiketi yako ya #TigoNyumbaniFestival2021 Nunua kwa njia rahisi na haraka.
Lipa Kwa simu kupitia Tigo Pesa
Lipa namba 9168335: TIGO NYUMBANI FESTIVAL
KILA KONA ni Tigo Nyumbani Festival ndani ya jiji la ARUSHA tukiwa na Arusha Jogging clib #TigoNyumbaniFestival

Mazoezi yatakuweka FIT Kama ilivyo brand yako pendwa ya Tigo inayokupa huduma bora za mawasiliano
.

No comments:

Post a Comment