RAIS SAMIA HASSAN AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 1 April 2021

RAIS SAMIA HASSAN AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao aliowateuwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma.

Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamad Yussuf Masauni kuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abdallah Hamis Ulega kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha William Tate Ole Nasha kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji).

No comments:

Post a Comment