ZIARA YA RAIS DK MAGUFULI IKIENDELEA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP

Habari Mpya

.com/img/a/

Wednesday, 20 January 2021

demo-image

ZIARA YA RAIS DK MAGUFULI IKIENDELEA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA

 

2+%252835%2529

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla fupi ya utiaji saini Mkataba kati ya Serikali na Kampuni ya Lz Nickel limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini hayo Ngara mkoani Kagera tarehe 19 Januari 2021.


7

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyaka Misenyi mkoani Kagera wakati akielekea Wilayani Karagwe.


11

Sehemu ya Wananchi wa Kyaka Wilayani Misenyi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama kuwasalimia tarehe 19 Januari 2021.


4+%252814%2529

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya kuzungumza nao.


2+%252834%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya kuzungumza nao.

1+%252841%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba iliyopo Bukoba mjini mkoani Kagera muda mfupi mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mkataba wa makubaliano kati ya Serikali na Kampuni ya LZ Nickel limited tarehe 19 Januari 2021.

1+%252842%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashukuru Wananchi na kuwaaga mara baada ya hafla ya utiaji saini Mkataba kati ya Serikali na Kampuni ya Lz Nickel limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini hayo mkoani Kagera tarehe 19 Januari 2021

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *