WAMASAI WANUFAIKA WA MKURABITA WAELEZEA WALIVYOKOPA BENKI KUTUMIA HAKIMILIKI ZA KIMILA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 29 January 2021

WAMASAI WANUFAIKA WA MKURABITA WAELEZEA WALIVYOKOPA BENKI KUTUMIA HAKIMILIKI ZA KIMILA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mpango wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), Balozi mstaafu, Daniel Ole Njoolay (kushoto), akizungumza na wafugaji wenye jamii ya kimasai Talas Taikoo (kulia) na Tirike Sandetwa wanufaika wa Mkurabika waliokopa fedha benki kwa kutumia Hati Hakimili za kimila wilayani Mbarali.


                                           Talas Taikoo.


                                        Tirike Sandetwa.

Na Richard Mwaikenda, Mbarali

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mpango wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), Balozi mstaafu, Daniel Ole Njoolay (kushoto), akizungumza na wafugaji wenye jamii ya kimasai Talas Taikoo (kulia) na Tirike Sandetwa wanufaika wa Mkurabika waliokopa fedha benki kwa kutumia Hati Hakimili za kimila wilayani Mbarali.

Tukio hili lilitokea Januari 26,2021 katika Ofisi za Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya baada ya mkutano na viongozi wa halmashauri pamoja na wadau walionufaika kwa kutumia Hakimiliki za kimila kukopea mkopo benki.

Ndugu mdau nakuomba uendelee kuwasikiliza wanufaika hao wa Mkurabita wakielezea kupitia clip hii ya video jinsi walivyonufaika kimaisha na fedha walizokopa kupitia Hati za Hakimiliki za kimila.

No comments:

Post a Comment