RAIS DK MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI NA UJENZI JENGO LA WAGONJWA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 30 January 2021

RAIS DK MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI NA UJENZI JENGO LA WAGONJWA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga wakati akikagua ujenzi wa Matanki makubwa ya kuhifadhia maji katika mradi mkubwa wa maji ya Ziwa Victoria katika miji ya Tabora, Igunga na Nzega.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Idara ya Wagonjwa wa  Huduma ya Dharura katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora leo tarehe 30 Januari 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akizindua mradi mkubwa wa Maji ya Ziwa Victoria itakayo hudumia miji ya Tabora, Igunga na Nzega.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga wakati akikagua ujenzi wa Matanki makubwa ya kuhifadhia maji katika mradi mkubwa wa maji ya Ziwa Victoria katika miji ya Tabora, Igunga na Nzega


No comments:

Post a Comment