Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masumbwe mara baada ya kufungua Majengo mapya ya Kituo cha Afya cha Masumbwe Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.
|
Wananchi wa Masumbwe wakishangilia wakati walipokuwa wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufungua Majengo mapya ya Kituo cha Afya cha Masumbwe Mbogwe mkoani Geita. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika picha ya kuchora aliyozawadiwa na kijana Emanuel Nande mkazi wa Mbogwe (kulia) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbogwe mkoani Geita. Picha na Ikulu.
|
Wananchi wa Masumbwe wakishangilia wakati walipokuwa wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufungua Majengo mapya ya Kituo cha Afya cha Masumbwe Mbogwe mkoani Geita. |
No comments:
Post a Comment