MATUKIO ZIARA YA RAIS DK. MAGUFULI BUKOBA MKOANI KAGERA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 18 January 2021

MATUKIO ZIARA YA RAIS DK. MAGUFULI BUKOBA MKOANI KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar pamoja na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke muda mfupi mara baada ya kupata chakula cha mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli   akiwa katika picha na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Dkt. Abednego Keshomshahara, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Desiderius Rwoma, Shehe wa Bukoba Mubarak Juma pamoja na Padre Revocatus Mwehuzi muda mfupi mara baada ya kupata chakula cha Mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.

No comments:

Post a Comment