Afisa Elimu Kazi kutoka Kamisheni ya Kazi, Ofsi ya Waziri Mkuu, Bi. Emiliana Rweyendera (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) katika kikao maalum cha kujaza nafasi ya Katibu Msaidizi wa Baraza hilo kilichofanyika ofisi za Makao Makuu ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam, Januari 7, 2020. |
No comments:
Post a Comment