|
Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius
Mwakalinga akipata ufafanuzi kutoka kwa msimamizi wa mradi wa ujenzi wa Daraja
la Selander, Lee Suk Joe alipokagua maendeleo ya ujenzi huo jijini Dar es
Salaam. |
|
Muonekano wa
moja ya nguzo za daraja la Selander la jijini Dar es salaam, ambalo ujenzi wake
unaendelea. |
|
Muonekano wa
moja ya nguzo za Daraja la Selander la jijini Dar es salaam, ambalo ujenzi wake
unaendelea. Kushoto ni msafara wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), Arch.
Elius Mwakalinga ukikagua ujenzi huo. |
|
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza
jambo kwa Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Rogathe Hussein
Mativila (kulia) na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako
(kushoto) alipokagua daraja la Selander jijini Dar es Salaam. |
|
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi Arch. Elius
Mwakalinga akisisitiza jambo kwa Mhandisi wa Madaraja Eng. Lulu Dunia
alipokagua daraja la Selander jijini Dar es Salaam. |
|
Meneja wa Wakala wa Barabara, Tanroads Mkoa wa Dar es Salaam Eng. Julius Ngusa (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta
ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga alipokagua daraja la Selander jijini Dar es
Salaam. |
|
Mhandisi wa
Madaraja Eng. Lulu Dunia, akisisitiza jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga alipokagua
daraja la Selander jijini Dar es Salaam. |
Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius
Mwakalinga akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi,
Eng. Rogathe Hussein Mativila (kulia) na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng.
Chrispianus Ako (kushoto) alipokagua daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam.
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano
Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. |
No comments:
Post a Comment