WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA KIWANDA CHA KAMPUNI YA YARA, KINACHOZALISHA MBOLEA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 7 October 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA KIWANDA CHA KAMPUNI YA YARA, KINACHOZALISHA MBOLEA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Kiwanda cha Kampuni ya YARA, kinachozalisha mbolea, kilichopo Kurasini Jijini Dar es salaam, wakati alipotembelea kiwanda hicho, Oktoba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia kikundi cha sanaa cha Safi Theatre, wakati alipotembelea Kiwanda cha Kampuni ya YARA, kinachozalisha mbolea, kilichopo Kurasini Jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kampuni ya YARA, kinachozalisha mbolea, kilichopo Kurasini Jijini Dar es salaam, Winstone Odhiambo, wakati akikagua mashine katika Kiwanda hicho. Oktoba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mbolea inayozalishwa na Kiwanda cha Kampuni ya YARA, kilichopo Kurasini Jijini Dar es salaam, wakati alipotembelea Kiwanda hicho. Oktoba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Norway nchini, Elizabeth Jacobson, wakati akiwasili kwenye Kiwanda cha Kampuni ya YARA, kinachozalisha mbolea, kilichopo Kurasini Jijini Dar es salaam, wakati alipotembelea Kiwanda hicho. Oktoba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment