RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA UINGEREZA, PAKISTANI NA USWISI IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 5 October 2020

RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA UINGEREZA, PAKISTANI NA USWISI IKULU JIJINI DAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar, Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na maafisa wa Ubalozi na wa Ikulu wakifurahia
envobaada ya Balozi huyo kukabidhi hati zake za Utambulisho  kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha  balozi mteule wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 5, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia  Jenerali Ibuge akimtambulisha  balozi mteule wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia  Jenerali Ibuge akimtambulisha  balozi mteule wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha  kwake balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020.

No comments:

Post a Comment