RAIS DK MAGUFULI AMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALHAJ HASSAN MWINYI NYUMBA ALIYOJENGEWA NA SERIKALI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 18 October 2020

RAIS DK MAGUFULI AMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALHAJ HASSAN MWINYI NYUMBA ALIYOJENGEWA NA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akishukuru baada ya  kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee
Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa  Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo 
Dk. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam  Oktoba 18, 2020 PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongea na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dk. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020. PICHA NA IKULU.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimsikikliza Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dk. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakitembezwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika nyumba ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akishukuru baada ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee
Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Oktoba 18, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020.

No comments:

Post a Comment