MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI SONGE WILAYANI KILINDI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 8 October 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI SONGE WILAYANI KILINDI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye  viwanja vya Kituo cha Mabasi cha Songe wilayani Kilindi, Mkoa wa Tanga Oktoba 8, 2020.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kikunde wilayani Kilindi wakati alipowaomba wampigie kura Mgombe Urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli,  Mbunge na Madiwani wa CCM, Oktoba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment