MAJALIWA AFUNGUA MSIKITI WA RAHMAAN KATIKA KIJIJI CHA KWAMNDOLWA WILAYANI KOROGWE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 10 October 2020

MAJALIWA AFUNGUA MSIKITI WA RAHMAAN KATIKA KIJIJI CHA KWAMNDOLWA WILAYANI KOROGWE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ally wakifungua Msikiti wa Rahmaan katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Oktoba 10, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ally wakati alipowasili  kwenye kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe kufungua Msikiti wa Rahmaan, Oktoba 10, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Wananchi wa Korogwe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua Msikiti wa Rahmaan katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Oktoba 10, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ally (kulia)  na Katibu wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Khamis Mataka  (kushoto) wakati alipowasili kwenye viwanja vya Msikiti wa Rahmaan katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Oktoba 10, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).



No comments:

Post a Comment