 |
| Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (kushoto) akizungumza jambo kwa wanahabari alipofanya ziara kukagua ujenzi Mradi wa Magomeni Kota. |
Akizungumzia maendeleo ya mradi huo, baada ya ziara yake Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga amesema ili kuhakikisha mradi huo unatekelezwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) unakamilika, serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni tisa tayari. Alisema kuwa hadi sasa mradi huo umekamilika kwa asilimia 81na kwamba familia 656 zinatarajiwa kupatiwa nyumba hizo.
Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro alisema katika kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati, kazi inafanyika usiku na mchana na kwamba hata vifaa vinavyotumika katika ujenzi wa mradi sasa vinatoka nchini Tanzania.
 |
| Sehemu ya maghorofa Mradi wa Magomeni Kota ujenzi ukikamilishwa. |
 |
| Sehemu ya maghorofa Mradi wa Magomeni Kota |
 |
| Sehemu ya nyumba zikiwa katika hatua za umaliziji kwenye Ujenzi Mradi wa Magomeni Kota. |
 |
| Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (kulia) akizungumza na vibarua na wafanyabiashara za vyakula ndani ya mradi huo wa Magomeni Kota. |
 |
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (katikati) akizungumza jambo na vibarua na wafanyabiashara za vyakula katika ziara yake kukagua ujenzi Mradi wa Magomeni Kota.
|
 |
| Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (katikati) akizungumza jambo na vibarua na wafanyabiashara za vyakula katika ziara yake kukagua ujenzi Mradi wa Magomeni Kota. |
 |
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (kushoto) akizungumza na mmoja wa wadau wanaotekeleza mradi huo alipofanya ziara kukagua ujenzi Mradi wa Magomeni Kota.
|
 |
| Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga akikagua eneo la kulia chakula mafundi na vibarua wanao ketekeleza mradi huo alipofanya ziara kukagua ujenzi Mradi wa Magomeni Kota. |
 |
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (kushoto) akizungumza jambo kwa wanahabari alipofanya ziara kukagua ujenzi Mradi wa Magomeni Kota.
|
No comments:
Post a Comment