RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE MKOANI KIGOMA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Sunday, 20 September 2020

demo-image

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE MKOANI KIGOMA

6+%25287%2529
Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye akikagua Gwaride la Heshma liliondaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

5+%252811%2529
Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye akikagua Gwaride la Heshma liliondaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

8+%25283%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

9+%25286%2529

10+%25286%2529

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea na kumkaribisha mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma tarehe 19 Septemba, 2020.

4+%252814%2529

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakati wa heshma za nyimbo za Mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma tarehe 19 Septemba, 2020.

11+%25286%2529

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakifungua kwa pamoja jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma leo tarehe 19 Septemba 2020. PICHA NA IKULU.

14+%25281%2529

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *