MTWA WA WAHEHE CHIFU ADAM MKWAWA AMWOMBEA KURA NA USHINDI WA KISHINDO JPM IRINGA…! - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 29 September 2020

MTWA WA WAHEHE CHIFU ADAM MKWAWA AMWOMBEA KURA NA USHINDI WA KISHINDO JPM IRINGA…!

 

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtwa wa Wahehe Chifu Adam Mkwawa baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa Jumatatu Septemba 28, 2020.


Mtwa wa Wahehe Chifu Adam Mkwawa akimkaribisha na kumuombea kura pamoja na ushindi wa kishindo Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mbele ya
maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa Jumatatu Septemba 28, 2020.



Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Iringa mjini Ndugu Jesca Msambatavangu mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa Jumatatu Septemba 28, 2020.



Sehemu ya nyomi iliyojitokeza kumsikilkiza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020.


Sehemu ya nyomi iliyojitokeza kumsikilkiza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020.

No comments:

Post a Comment