JPM JUU KWA JUU MPAKA JIMBONI ISIMANI…! - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 29 September 2020

JPM JUU KWA JUU MPAKA JIMBONI ISIMANI…!

Helkopta inayotumiwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ikipasua anga katika maeneo ya Isimani mkoani Iringa katika Kampeni za CCM tarehe 28 Septemba 2020.

Wananchi wa Migori wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili wakati akitokea Dodoma.

   Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mtera mkoani Dodoma wakati akielekea Isimani Mkoani Iringa kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM tarehe 28 Septemba 2020.

Wananchi wa Migori wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili wakati akitokea Dodoma.

Wananchi wa Isimani wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili wakati akitokea Dodoma.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mtera mkoani Dodoma wakati akielekea Isimani Mkoani Iringa kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM tarehe 28 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment