MGOMBEA URAIS TIKETI YA CCM RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI IGALULA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 22 September 2020

MGOMBEA URAIS TIKETI YA CCM RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI IGALULA

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igalula mkoani Tabora wakati akielekea Manyoni mkoani Singida katika muendelezo wa Mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.

Wananchi wa Kijiji cha Tura Igalula mkoani Tabora wakimsikiliza Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kijijini hapo 22 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment