Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni za CCM.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na baadhi ya Wagombea Ubunge wa CCM kwa mkoa wa Singida mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni Itigi mkoani Singida leo tarehe 22 Septemba 2020.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.
No comments:
Post a Comment