Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mpuguzi katika Jimbo la Dodoma mjini wakati akiwa njiani kuelekea katika mikutano ya Kampeni za CCM mkoani wa Iringa tarehe 28 Septemba 2020.Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo tarehe 28 Septemba 2020 wakati akielekea mkoani Iringa.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manzase Mvumi mkoani Dodoma wakati akielekea mkoani Iringa tarehe 28 Septemba 2020.
Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo tarehe 28 Septemba 2020 wakati akielekea mkoani Iringa.
Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo leo tarehe 28 Septemba 2020 wakati akielekea mkoani Iringa.







No comments:
Post a Comment