JPM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ROMBO KWA NJIA YA SIMU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 7 September 2020

JPM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ROMBO KWA NJIA YA SIMU

 

Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati Rais alipoomba kuzungumza kwa njia ya simu na wananchi wa Rombo waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Polisi Tarakea Mkoani Kilimanjaro, Septemba  7, 2020.Baadae Rais alizungumza na wananchi hao.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameweka simu kwenye kipaza sauti wakati  Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipozungumza kwa njia ya simu na wananchi wa Rombo waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa Kampeni uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Polisi Tarakea  mkoani Kilimanjaro,  Septemba 7, 2020.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wananchi wa Rombo wakimsikiliza Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipozungumza nao kwa njia ya simu katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu  ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Polisi Tarakea mkoani Kilimanjaro, Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment