ERB WAKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA MJI WA SERIKALI MTUMBA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Friday, 25 September 2020

demo-image

ERB WAKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA MJI WA SERIKALI MTUMBA

 

2+%252841%2529Msajili wa Bodi wa Wahandisi nchini (ERB), Eng. Patrick Barozi akifafanua jambo alipokagua mradi wa ujenzi wa barabara katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.



5+%252818%2529Mtaalam wa ujenzi wa viwanja vya ndege eng. Focus Kadeghe akifafanua jambo kwa wahandisi kutoka Bodi ya Usajili wa wahandisi nchini  (ERB), walipokagua ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Dodoma.



7+%25287%2529Eng. Nzigula Sospeter mkuu wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma akifafanua jambo kwa wahandisi toka  (ERB),hawapo pichani walipokagua ukarabati wa kituo hicho. 



3+%252832%2529
Muonekano wa barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.


4+%252824%2529
Muonekano wa kalvat linalojengwa kuunganisha barabara za mzunguko  katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.




Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *