Muonekano picha kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |
Vitalu mbalimbali vya mazao ya mbogamboga ndani ya Banda la Halmashauri ya Rufiji kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |
Zana za kisasa za kumsaidia mkulima zikioneshwa. |
Tume ya Uchaguzi nao wapo kwenye maonesho... |
Mabanda mbalimbali kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |

Banda la SIDO kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |
Banda la JKT;... Jokofu rahisi na la asili kwa ajili ya kuhifadhi mazao ya mbogamboga kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |
Zana za kilimo ndani ya Banda la Benki ya NMB, kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. NMB wanamwezesha mkulima kwa mikopo mbalimbali...! |

Simba wa maonesho katika moja ya banda la kuonesha wanyama pori |
Mabanda mbalimbali kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |
Mabanda mbalimbali kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. |
No comments:
Post a Comment