WAZIRI MKUU APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA BURUNDI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 27 July 2020

WAZIRI MKUU APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA BURUNDI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume (Kushoto). Waziri Mkuu wa Burundi alifika Julai 27, 2020  Ofisi ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais na Wananchi wa Jamhuri ya Burundi  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na watanzania kufuatia kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu  wa Burundi Jenerali Alain Guillaume, Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri. Mkuu).


No comments:

Post a Comment