RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAZISHI YA BENJAMIN WILLIAM MKAPA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 28 July 2020

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAZISHI YA BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

No comments:

Post a Comment