NMB YAKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA MKOANI SINGIDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 12 June 2020

NMB YAKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA MKOANI SINGIDA

Meneja wa Benki ya NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi la Singida - Willy Mponzi (kushoto), wakimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoni hapo.

No comments:

Post a Comment