TUMUENZI SHUJAA WETU SHEIKH AMANI ABEID KARUME…! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 7 April 2020

TUMUENZI SHUJAA WETU SHEIKH AMANI ABEID KARUME…!

Sheikh Amani Abeid Karume.
Tuwaenzi Mashujaa wetu. Marehemu Sheikh Amani Abeid Karume, alithamini kazi na alipigania Uhuru wa kisiasa na kiuchumi wa mtu mweusi. Hakuwa kibaraka wala mwoga. Katika muda mfupi, alifanya mambo makubwa sana Unguja. Mola aendelee kumjaaliya usingizi ulio heri Shujaa wetu. Aaamin. Amina.

No comments:

Post a Comment