![]() |
| Wamachinga wakiwa kwenye eneo la Soko la Samunge wakijiandaa kuanza Ujenzi wa vibanda vyao Mara baada ya zoezi la kugawa maeneo lilipoanza picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha |
![]() |
| Ujenzi ukiendelea kama unavyoonekana pichani leo ndani ya eneo la soko la Samunge hilo ni eneo la Mashariki mwa soko hilo ambapo eneo hilo ndio pekee lililobakia salama bila kuungua |
![]() |
| Eneo la Magharibi mwa Soko la Samunge likiendelea na Ujenzi kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha |







No comments:
Post a Comment