KWANDIKWA AMTAKA MENEJA WA TANROADS SINGIDA KUTAFUTA NJIA MBADALA KUFUATIA BAADHI YA BARABARA KUJAA MAJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 19 April 2020

KWANDIKWA AMTAKA MENEJA WA TANROADS SINGIDA KUTAFUTA NJIA MBADALA KUFUATIA BAADHI YA BARABARA KUJAA MAJI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa akitoa maelekezo kwa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Singida Eng. Masige Matari (wa pili kulia) baada ya kukagua Barabara ya Iyumbu-Mgungira-Ihombwe-Mtunduru-Magereza Singida ambayo sehemu yake imefunikwa kwa maji kufuatia mvua inayonyesha mkoani Singida kuunganisha Bwawa la Kindai na Manonga.


Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa akitoa maelekezo kwa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Singida Eng. Masige Matari baada ya kukagua Barabara ya Iyumbu-Mgungira-Ihombwe-Mtunduru-Magereza Singida ambayo sehemu yake imefunikwa kwa maji kufuatia mvua inayonyesha mkoani Singida kuunganisha Bwawa la Kindai na Manonga.


Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa akitoa maelekezo kwa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Singida Eng. Masige Matari (wa pili kushoto) baada ya kukagua Barabara ya Iyumbu-Mgungira-Ihombwe-Mtunduru-Magereza Singida ambayo sehemu yake imefunikwa kwa maji kufuatia mvua inayonyesha mkoani Singida kuunganisha Bwawa la Kindai na Manonga.


Meneja wa Tanroads Mkoa wa Singida Eng. Masige Matari akimuonesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa athari za mvua zilizosababisha Bwawa la Murya-Kisisi na Msowera kuungana na kuifunga barabara ya Njuki-Ngamu yenye urefu wa Km 47 mkoani Singida.


Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa akikagua Barabara ya Iyumbu-Mgungira-Ihombwe-Mtunduru-Magereza Singida ambayo sehemu yake imefunikwa kwa maji kufuatia mvua inayonyesha mkoani Singida kuunganisha Bwawa la Kindai na Manonga.
Vijana wakitoa huduma ya kuvusha abiria katika Barabara ya Njuki-Ilongero-Ngamu kufuatia barabara hiyo kufunikwa na maji baada ya bwawa la Murya -Kisisi kuungana na bwawa la Masoweda mkoani Singida kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo.

No comments:

Post a Comment