SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/21 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 11 March 2020

SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/21

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akifungua kikao cha uwasilishwaji wa mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/21, uliofanywa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe., bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/21, Dodoma, ambapo Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 34.88.

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kwa umakini maelezo ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango kuhusu mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/21, Katika Ukumbi wa Msekwa, Jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment