MATUKIO PICHA : MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA KUKABILIANA NA CORONA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 26 March 2020

MATUKIO PICHA : MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA KUKABILIANA NA CORONA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na ugonjwa wa Corona,  ambayo yeye ni Mwenyekiti wake, katika kikao  kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Machi 25, 2020. (Picha na OIfisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment